
Muandaaji wa Miss Tabata Fred Ogot akiongea kumkaribisha Mwenyekiti wa kamati wa Miss Tanzania Hashim Lundenga alipotembelea kambi yao Tabata Da` West Park

Mamiss wakiwa katika pozi kali mbele ya kamati ya Miss Tanzania

Miss Tabata wakionyesha Show ya kuikaribisha kamati ya Miss Tanzania

Pozi letu lenye Tabasam la uhakika

Mmetucheki!!!!!!!!!!!!

Mshiriki wa Miss Tabata akimuuliza swali Hashim Lundenga hayupo pichani

Fred Ogot akiteta jambo na mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga


Uhhh wajemini nachoka hebu wekeni mapozi vizuri.....Fred Ogot akiwambia warembo wake


Hashim Lundenga akiwafunda mamiss Tabata kabla ya shindano lao

Show kali kwa kamati ya Miss Tanzania