13 June 2011

FAIZA KIMWANA MPYA MISS TABATA






Mrembo Faidha Ally akipozi baada ya kutangazwa Miss Tabata 2011.

09 June 2011

MSHINDI MISS TABATA KUZOA SHILLINGI MILIONI 1

Miss Tabata 2011 atapatikana katika ukumbi wa Da’ West Park , Tabata ambapo mshindi huyo atazawadiwa shilingi milioni moja.

Mratibu wa shindano hilo linaloandaliwa na Bob Entertainment na Keen Arts, Joseph Kapinga, amesema jana kuwa mshindi wa pili atapata shilingi laki tano na wa tatu laki tatu. Mshindi wa nne na watano watapata shilingi laki mbili kila moja.

Washiriki wengine watakaoingia kumi bora watazawadiwa shilingi laki moja kila moja. Warembo waliyosalia watapata kifuta jasho cha 50,000/- kila moja.

Warembo 21 wanatarajiowa kushiriki kwenye kinyang’anyiro hicho ambapo bendi maarufu nchini African Stars “Twanga Pepeta” itatumbuiza kwenye shindano hilo ambalo ni kivutio cha wengi jijini.

Washiriki ni Marion Augustino (19), Neema Marwa (18), Catherine Julius (20), Lilian William (20), Godliver Mashamba (22) na Dorice Mutabingwa (21).

Wengine ni Sweetlily Suleiman (21), Maria John (21), Happyness Emmanuel (18), Cresensia Haule (20), Mariam Manyanya (21), Agustina Mshanga (20), Nasra Salim (21), Faiza Ally (19) na Edina Mnada (21).

Pia wamo Angela Fortunatus (21), Lucia Joseph (20), Lilian Brayson (22), Rita Mvungi (21) na Willieth Wilson (22).

Miss Tabata 2011 imedhaminiwa na Dodoma Wine, Vodacom, Redds Original, Integrated Communications, Paris Pub, Fabak Fashion, Freditto Entertainment, Chicken Hut, Travel Partners, Ben Expedition, Screen Masters, Sean Entertainment, Michuzi blogspot, Anech Stationary na Vayle Springs

Consolata Lukosi ndiye mrembo anayeshikilia taji la Miss Tabata.

Mrembo huyo alikuwa nambari tatu mwaka jana kwenye shindano la taifa Vodacom Miss Tanzania kabla ya kushinda taji la Redds Ambassador.

Mashindano hayo ya urembo yanaandaliwa na Bob Entertainment na Keen Arts.

08 June 2011

LUNDENGA ATEMBELE KAMBI YA MISS TABATA

Muandaaji wa Miss Tabata Fred Ogot akiongea kumkaribisha Mwenyekiti wa kamati wa Miss Tanzania Hashim Lundenga alipotembelea kambi yao Tabata Da` West Park
Mamiss wakiwa katika pozi kali mbele ya kamati ya Miss Tanzania
Miss Tabata wakionyesha Show ya kuikaribisha kamati ya Miss Tanzania
Pozi letu lenye Tabasam la uhakika
Mmetucheki!!!!!!!!!!!!
Mshiriki wa Miss Tabata akimuuliza swali Hashim Lundenga hayupo pichani
Fred Ogot akiteta jambo na mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga

Uhhh wajemini nachoka hebu wekeni mapozi vizuri.....Fred Ogot akiwambia warembo wake

Hashim Lundenga akiwafunda mamiss Tabata kabla ya shindano lao
Show kali kwa kamati ya Miss Tanzania

06 June 2011

MISS TABATA WALIPOTEMBELEA MIKUMI

Mikumi oyeeeeeeee
Safari ya kuelekea Mikumi na warembo wa Miss Tabata 2011
Warembo wakipozi kwa picha ndani ya mbuga za wanyama mikumi

Miss Tabata contestants in a group photograph at Mikumi National Park


Miss Tanzania organizing committee will tomorrow visit Miss Tabata rehearsals camp at Da’ west Park Tabata.

The committee under the leadership of Hashim Lundenga will get a chance to have interview with the contestants and give them beauty tips before the queens vie for the title on Friday.

“It is good to know them before they compete for the title. We will need to know them in deep and tell them their responsibilities and many other things related with beauty,” Lundenga said.

Some 22 queens will contest in the event which will coloured by entertainment from African Stars “Twanga Pepeta”.

The queens made a two-day visit at the Mikumi National Park in Morogoro where they leant a lot of things about animals and other tourist attractions in the park.

The aim of the tour was to promote domestic tourism.

The contestants are Marion Augustino (19), Neema Marwa (18), Catherine Julius (20), Lilian William (20), Godliver Mashamba (22) and Dorice Mutabingwa (21).

Others are Sweetlily Suleiman (21), Maria John (21), Happyness Emmanuel (18), Cresensia Haule (20), Mariam Manyanya (21), Agustina Mshanga (20), Nasra Salim (21), Faiza Ally (19) and Edina Mnada (21).

There are also Angela Fortunatus (21), Lucia Joseph (20), Lilian Brayson (22), Rita Mvungi (21) and Willieth Wilson (22).

Miss Tabata 2011 is sponsored by Dodoma Wine, Vodacom, Redds Original, Integrated Communications, Paris Pub, Fabak Fashion, Freditto Entertainment, Chicken Hut, Travel Partners, Ben Expedition, Screen Masters, Sean Entertainment, Michuzi blogspot, Anech Stationary and Vayle Springs.

Miss Tanzania second runner-up Consolata Lukosi is the reigning Miss Tabata. Consolata also won Redd Ambassodar title.

Miss Tabata is organized by Bob Entertainment and Keen Arts.

01 June 2011

Miss Tabata watembelea mbuga za Mikumi


Warembo 22 watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Tabata 2011 jana waliondoka Dar es Salaam kwenda kutembelea mbuga za wanyama za Mikumi.

Mratibu wa shindano hilo, Joseph Kapinga, alisema jana kuwa lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii wa ndani.

“Lengo la ziara hii ni kutangaza utalii wa ndani. Tunataka warembo wetu wajue wanyama na vivutio vingine vinavyopatikana kwenye mbuga zetu hasa Mikumi,” Kapinga alisema.

Alisema kuwa wakiwa Mikumi, warembo hao wapata fursa ya kuwajua tabia za wanyama na ndege wote waliomo kwenye mbuga hiyo.

Miss Tabata imepangwa kufanyika Juni 10 katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata.

Warembo walioondoka ni Marion Augustino (19), Neema Marwa (18), Catherine Julius (20), Lilian William (20), Godliver Mashamba (22) na Dorice Mutabingwa (21).

Wengine ni Sweetlily Suleiman (21), Maria John (21), Happyness Emmanuel (18), Cresensia Haule (20), Mariam Manyanya (21), Agustina Mshanga (20), Nasra Salim (21), Faiza Ally (19) na Edina Mnada (21).

Wamo pia Angela Fortunatus (21), Lucia Joseph (20), Lilian Brayson (22), Rita Mvungi (21) na Willieth Wilson (22).

Miss Tabata 2011 inadhaminiwa na Dodoma Wine, Vodacom, Redds Original, Integrated Communications, Paris Pub, Fabak Fashion, Freditto Entertainment, Chicken Hut, Travel Partners, Ben Expedition, Screen Masters, Sean Entertainment, Michuzi blogspot na Anech Stationary.

Consolata Lukosi ndiye mrembo anayeshikilia taji la Miss Tabata 2010.

Mrembo huyo alikuwa nambari tatu mwaka jana kwenye shindano la taifa (Miss Tanzania) kabla ya kushinda taji la Redds Ambassador.

Mashindano hayo ya urembo yanaandaliwa na Bob Entertainment na Keen Arts.