![]() |
| Redd`s Miss Tabata aliyemaliza muda wake Noella Michael (aliyekaa katikati) akisubiri kwa hamu kubwa kutangazwa mrithi wake |
![]() |
| Tano bora Miss Tabata 2013 |
![]() |
| Kumi bora wakijipanga kwa mchujo wa Tano Bora |
![]() |
| Kama The Jacko |
![]() |
| Kazi imeuma mrembo wa miss Tabata 2013 akilisakata yenu jukwaani |
![]() |
| Warembo waliohudhuria Miss Tabata 2013 wakishangilia |
![]() |
| Majaji wa Miss Tabata wakiwa kazini kuchmabua pointi |
![]() |
| Viongozi wa Miss Tanzania wakimsikiliza Hoyce Temu aliyewahi kuwa Miss Tanzania |
![]() |
| Wapenzi wa mambo ya Warembo wakifuatilia kwa mwakini kinachoendelea jukwaani |





















