Warembo wa miss Tabata 2011 wakipita mbele ya Ukumbi wa Da` West Park kwa ajili ya utambulisho siku ya Pasaka. Wacheza show wa Extrabongo wakifanya vitu vyao siku ya utambulisho wa Miss Tabata Warembo wakionyesha show yao ya utambulisho kwenye ukumbi wa Da` West Tabata