28 April 2011

EXTRABONGO WALIVYONOGESHA UTAMBULISHO WA MISS TABATA 2011

Warembo wa miss Tabata 2011 wakipita mbele ya Ukumbi wa Da` West Park kwa ajili ya utambulisho siku ya Pasaka.



Wacheza show wa Extrabongo wakifanya vitu vyao siku ya utambulisho wa Miss Tabata



Warembo wakionyesha show yao ya utambulisho kwenye ukumbi wa Da` West Tabata


mmmmm mnatucheki jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hapa je mnasemaje?

Ali Choki akifanya makamuzi

1 comment:

  1. Wana extrabongo,hongera kwa kazi zenu,tunaona jinsi bidii yenu inavyozaa matunda,Mjitahidi kukaza buti bila kuchoka,salaam kwa ndugu yangu Ally Choki na wanamuziki wote,najaribu kumtafuta kwa simu hapatikani.
    Hongera pia kwa kuanzisha blog maana hii ndiyo njia nzuri ya kuweza kuonekana na dunia nzima na siyo bongo tu.Ushauri wangu ni kuwa mjitahidi pia kuweka contacts zenu kama e mail address,tel.no.nk.katika blog hii,ili kama kuna promoter au watu binafsi wanataka kuwasiliana nanyi waweze kufanya hivyo bila shida.Pia jaribuni kuwa mnaweka video clips za shows zenu katika blog hii ili watu wapate picha kamili ya muziki wenu.
    Abbu Omar,Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.

    ReplyDelete